Hisa ni sehemu ya umiliki wa mwanachama kwenye chama.
Akiba ni kiasi alichojiwekea mwanachama kwenye chama.
Amana ni kiasi alichojiwekea mwanachama kwenye chama.
Mwanachama anaweza kukopa hadi mara tatu ya akiba yake.
Kauli mbiu ya chama:
Maisha ni Ushirika